Karibu Hazina Connect

Jibu la maswali yako yote kuhusu masuala ya Fedha. Pata ushauri wa kitaalamu, taarifa makini na nyenzo kusaidia kukokotoa na kulinganisha bidhaa na huduma mbalimbali za kifedha. Jiunge HazinaConnect Members Club (HMC) kupata jarida (Newsletter) kila wiki lilosheheni taarifa za habari na uchambuzi masuala ya biashara, ushauri wa hatua za kupunguza matumizi na kuongeza kipato, punguzo la bei la bidhaa na huduma kutoka washirika wetu, zawadi mbalimbali na mengine mengi!.